GEORGE STINNEY
George stinney ni miongoni mwa watu waliohukumiwa kwa kosa la mauaji wakiwa na umri mdogo sana.Geogre stinney alikuwa na umri wa miaka kumi na nne pindi alipojikuta hatiani kwa kosa la mauwaji ya watoto wawili wa kizungu.
Ilikuwa ni mwaka 1944,siku fulani ambapo George Stinney alikuwa na dadayake wakiendelea na shughuli zao.Njiani waliwaona mabinti wawili wakizungu ambao walikuwa wakitafuta aina fulani ya mauwa.Mabinti wale inasemekana walimuuliza George na dadayake ni wapi wangeyapata maua yale waliyokuwawakiyatafuta,George aliwaelekeza mahali ambapo ni karibu na mto na ndipo mahali maua yale yalikuwa yanapatikana.Watoto wale wawili hawakuweza kuonekana tena baada ya pale,watu walijikusanya vikundi vikundi na kuamua kuwatafuta watoto wale ambao baadaye walikutwa karibu na mto wakiwa wameuwawa kwa kupigwa na kitu kichwani.
Siku iliyofuata George stinney alikamatwa na kupelekwa kwenye mahojiano na polisi,George inasemekana alikubali kuwa alikuwa na dhamira ya kufanya tendo la ndoa na mmoja wa wasichana wale,hivyo aliamua kuwafuata kule mtoni ili atimize lengolake,kufika kule aliona amuuwe yule binti ili amuingilie kirahisi,lakini ili kupoteza ushahidi aliamua kuwaangamiza wote.Pamoja na hayo yote lakini watoto wale haikuthibitishwa kuwa walibakwa.
George Stinney hakuwa na wakili na wala hakuruhusiwa kukutana na wazazi wake mpaka mauti yanamkuta,George Stinney alihukumiwa kuuwawa kwa kiti cha umeme.Baada ya mauwaji hayo ya mtu asiye na hatiya ndipo wanasheria kadhaa waliamua kuifuatilia kesi ile na ndipo ikagundulika kuwa George Stinney aliuwawa kwa makosa,kwakuwa hakuhusika na mauwaji yale ila aliamua kukilia ameuwa kwasababu tu ya mateso aliyopewa ili akili kosa.
by lameck afrique
RIP GEORGE STINNEY.

Comments
Post a Comment