VITA DHIDI YA MASTAR WA BONGO MUVI YAZIDI KUKOMAA,WABABE WAANZISHA KAMPENI.

Kampuni ya uandaaji na usambazaji wa filamu nchini Tanzania,KAZINGINI ENTERTAINMENT umetangaza kampeni kabambe iliyopewa jina O M S,yaani oparesheni ondoa mastar.Wasemaji wachache wa kampuni hiyo wamedai kuwa yapo malalamiko kutoka kwa wasanii wachanga kuwa hawapewi nafasi za kutosha ili waonyeshe uwezo wao.
"hata wasanii wachanga wanaweza"alisema kiongozi mmoja wa kampuni hiyo huku akiwaomba masuperstar wote wa bongo muvi wakae mkao wa kula maana kuna vijana chipukizi wanakuja kwa mwendo kasi.

Comments