ZIARA YA MH RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI,GUMZO MAGAZETINI.

Baada ya rais wa Tanzania DK John Pombe Magufuli kufanya ziara ya kushitukiza bandarini, kumejaa utata juu ya idadi ya makontena yaliyokamatwa.yapo magazeti yaliyochapisha habari kuwa makontena 262 yamekamatwa,idadi hiyo imekuwa ikichanganya watu kwani magazeti mengine yameandika ni makontena 252 na 266,hivyo vyombo vya habari vinapaswa kuwa makini kwani vinaweza kuchangia kuleta mtafaruku ndani ya jamii.

Comments