peter frank isongole awa gumzo katika tasnia ya film tanzania

Msanii peter frank Isongole amegeuka kuwa gumzo mtaani baada ya kuutumia vizuri uhusika wake katika filamu ya NGALANGALA Iliyoongozwa na producer wa maproducer'mr TOM JOHNS.Filamu hii imejichukulia umaarufu mkubwa katika mitandao ndani na nje ya tanzania.
Filamu hii imetengenezwa kwa ufanisi mkubwa kuanzia maswala yote ya shooting,script,wahusika,editing na cut zote zilifanywa poa sanaa na vijana hawa kutoka GLP.

 

DIRECTOR TOM JOHNS


Comments