Juma lililopita niliweza kuwaonyesha jinsi tom johns na peter walivyoivuruga bongo muvi kwa kichupa chao cha NGALANGALA,Sasa wiki hii jamaa hawa wamekuja na BARUA ,film ambayo imeonekana kuwa ni kama muendelezo wa NGALANGALA.Hakika wamejipanga sanaaaa.
Comments
Post a Comment