MUIGIZAJI KWENYE SIRI ZA FAMILIA AFARIKI GHAFLA

MUIGIZAJI, HAJI JUMBE AMEIAGA DUNIA BAADA YA KUUGUA GHAFLA NA KUFARIKI NJIANI WAKATI AKIPELEKWA HOSPITALI.UONGOZI MZIMA BLOGG YA FIKRA ZA MUGISHA UNATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU PAMOJA NA WAJUMBE NA MASHABIKI WA KAZI ZA SANAA.

REST IN PEACE HAJJI JUMBE

Comments

Post a Comment