BARAKA DA PRINCE AMPONDA OMONDI WA KENYA

Mwanamuziki nguli wa bongo,Baraka da prince ameiponda video ya eric omondi kupitia ukurasa wake wa instagram.Baraka alisema video ile haina mvuto na pia inawakashifu wakristo kwakuwa inamuonyesha eric omondi akiwa msalabani kama yesu.

Comments