DIAMOND APATA MTOTO WA KIUME

Mwanamuzi nguli wa bongo fleva Naseeb Abdul,Almaarufu DIAMOND ,amejaliwa kupata mtoto wa kiume.Mtoto huyo amezaliwa katika hospitali ya NETCARE PRETORIA SOUTH AFRICA,na bado hajapewa jina na kwa tarifa zaidi bofya link hapo chini.

http//www.milardayo.com/

Comments