JAMII FORUMS FURAHA TENA,MMILIKIWAKE ATOKA SELO

Maxence Melo amepatiwa dhamana muda huu katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu ,baada ya kukaa selo takribani siku saba.Anakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuendesha tovuti ambayo haijasajiliwa nchini.

vyanzo
Https://www.2daysky.com/

Comments