Director wa filamu kutoka jiji la Mbeya ambaye yuko chini ya label ya GREEN WOOD LIVING PICTURES anayefahamika kwa jina la Tom Johns hivi karibuni ametuacha midomo wazi kwa kazi nzuri aliyoitoa iitwayo CHEUSI DAWA.
Director huyo ameonekana kushika mioyo ya watu kutokana na jinsi anavyo zipangilia kazi zake na kuwapanga wahusika kwa ubunifu wa hali ya juu sana. Director huyu, mwaka jana aliweza kutamba na short film kubwa kama ,Ngala ngala, Mkoba na Pambazuko. Filamu hizo zimefanya jina la Tom Johns kuwa si geni tena ndani ya masikio ya watu wengi.
ILI KUITAZAMA FILAMU YA CHEUSI DAWA BOFYA LINK HAPA CHINI...................
https://youtu.be/q3k8NvjuNzY

Comments
Post a Comment