Sanaa
ni miongoni mwa vitu ambavyo vimekuwa vikilipatia pato kubwa taifa letu
Tanzania. Wasanii wengi hususan vijana wamekuwa ni chachu kubwa ya maendeleo
katika taifa hili kupitia sanaa.Kazi zza sanaaa ni miongoni mwa vitu vinavyolipiwa ushuru hapa nchini
hali inayopelekea taifa kujipatia makato makubwa kutoka sehemu mbalimbali.

Sanaa ya
uchekeshaji ni miongoni mwa sanaa zilizoanza kwa kasi kubwa kwenye miaka ya
tisini na baadae ikaanza kupotea kwa kasi kama jinsi ilivyokuwa inakuja.
Waigizaji kama kina kingwendu, Bambo na wengine wengi walikuwa vinara sana wa
kutekenya mbavu za watu bila ya kuwagusa wakati haina ya sanaa hii ikiwa bado
inamashiko kwenye taifa hili.

Miaka ya hivi
karibuni sanaa hi ya uchekeshaji na filamu kwa ujumla imeonekana kusua sua huku
ujio wa wasanii wasio jitambua ukichukuliwa kuwa ndio sababu kubwa ya janga
hili. Wasanii wengi wamekuwa wakitupiana mpira huku kila mmoja akimzonga
mwenzie kuwa yeye ndiye chanzo cha mambo haya. Kutokana na hali hii uchumi
kisanaa umetikisika kidogo, wasanii wengi wamekuwa wakitoa kazi mbovu hali
iliyopelekea umati wa wasanii kuapa kuto kununua filamu ama comedy za Tanzania.
Hali hii ya kuyumba kwa soko la Filamu chini Tanzania kumekuwa simanzi kubwa
kwa chipukizi waliokuwa wakipania kuleta ubunifu utakao ibadilisha Tanzania
katika sekta ya sanaa kwani wameshindwa ni wapi waanzie.

Licha ya kuwepo
kwa wasanii chipukizi waliokata tama, wapo baadhi ya wasanii hao wachanga ambao
wameamua kuibeba hali waliyonayo na kuamua kujisimamia kazi zao ili adhima yao
itimie. King kamonga ni miongoni mwa
wasanii wanaokuja kwa kasi kupitia sanaa ya uchekeshaji na alikuwa na haya
machache ya kusema pindi alipofanya mahojiano na mwanahabari wetu kutoka FIKRA ZA MUGISHA
BLOGG.

MAHOJIANO NA KING KAMONGA
Fikra blog:uko single?
King kamonga: siko tayari kuweka wazi hilo swala
Fikra blogg: unampango wa kufanya kazi na msanii gani?
King kamonga:wapo wengi nawakubari kama ringo, ashaboko, au
Maufundi lakini inategemea uhusika unamtaka nani, kama uhusika ukimtaka
ashaboko basi nitafanya nae inategemea na uhusika kama nilivyokwambia kuwa
wengi nawakubari ila inategemea na Uhusika.

Fikra blog:unamalengo gani kwenye tasnia ya komedi
King kamonga: malengo
niliyonayo baada ya kuingia bongo muvina nataka kuipeleka komedi ifike kwenye mahali ili iweze
kuheshimika kwasababu watu wanachukulia komedi kikawaida sana lakini mimi
nataka kuipeleka komedi mbali tena iwe kimataifa ili kazi hii iheshimike.

Fikra blogg:unawwambi watanzania nini
King kamonga:mimi nahitaji support kutoka kwa watanzania,
ujue watu ni rasilimali ili niwepo mimi razima wao wawepo, lakini pia kwa
wasanii wenzangu hususani katika tasnia ya filamu bado hatuna mshikamano,
tumekuwa wabinafsi maana hatupeani nafasi, ujue wenzetu wanafanikiwa kwakuwa
wanatizama ushindani. Mfano mzuri ni kwa mbwana sammata ni miongoni mwa
wachezaji nguli wakitanzania wanaocheza nje hii ni kwamba tulimpa nafasi na
support, hivyo basi sisi wasanii tuwe na mshikamano ili tufike mbali

Tutawaleteeni mahojiano yote katika mfumo wa video kupitia
youtube account yetu LAMECK TV.
https://www.youtube.com/watch?v=d8QahcdmKx8
youtube account yetu LAMECK TV.
Comments
Post a Comment