Habarizilizotufikia hivi punde ni kwamba chumba cha kurushia matangazo ofisi za Clouds TV kimeshika moto ghafla. Sababu za moto huo bado hazijawekwa bayana,jeshi la polisi na zimamoto tayari wamefanikiwa kupunguza makali ya moto huo, na uchunguzi unaendelea kufanyika ili kujua chanzo cha moto huo.
Comments
Post a Comment