SIKUMBUKI KAMA NILIWAHI KFURAHI

Waswahili wanasema, vita isikiliziekwa jirani. Cecy na Julian ni miongoni mwa watoto waliopata kuijua maana halisi ya msemo huo, vita iliyopelekea wazazi wao kupotea ndio chanzo kikubwa cha maisha yaokuwa mabaya, ni ndani ya simulizi iitwayo SIKUMBUKI KAMA NILIWAHI KUFURAHI itakayokujia hivi karibuni kupitia blog hii.

Comments