NGUVU YA UTHUBUTU AWARDS

Habari Tanzania, Swahilionline tunapenda kuwataarifu kuwa Tuzo za Nguvu ya Uthubutu zimeshakuwa lounched, na competitors kwenye kila kipengele tayari wamepatikana, Tuzo zitageiwa siku ya Jmosi, Tarehe 7 mwezi wa nne, ndani ya ukumbi wa yombo mll pale UDSM, Kiingilio ni shilingi 5000, na tuzo hizi zitafuatana na semina kuntu ya ujasiliamali, usikose mtuwangu.

Comments