ZINAZO TAMBA NSTAGRAM:WENDY WAENI NI ZAIDI YA MWANASARAKASI

Leo katika story za Insta, tuko na Video inayosambaa inayomuonyesha Mwanasarakasi mdogo kutoka kenya Wendy Waeni akisakata wimbo unaotambulika kama KWANGWALU ulioimbwa na wasanii Diamond na Harmonize kutoka Tanzania. Taarifa kutoka Mtandao wa Nairobi News zinaeleza kuwa vidio hii imesambaa sana ndani na nje ya Kenya, Hali iliyopelekea watu wengi kumtag msanii Diamond katika vidio hiyo ambayo imekuwa kivutio sana kwa mashabiki wa mwanamichezo huyo Wendy Waeni kutoka Kenya.

BOFYA NENO VIDEO KUITAZAMA VIDEO
VIDEO


Comments